GET /api/v0.1/hansard/entries/977180/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 977180,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/977180/?format=api",
    "text_counter": 308,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Lamu CWR, JP",
    "speaker_title": "Hon. (Ms.) Ruweida Obo",
    "speaker": {
        "id": 786,
        "legal_name": "Ruweida Mohamed Obo",
        "slug": "ruweida-mohamed-obo"
    },
    "content": " Asante, Bi Naibu Spika wa Muda. Ningependa kuunga mkono na kupongeza Kamati kwa Ripoti yao nzuri. Kwa hakika, kahawa ni uti wa mgongo wa nchi yetu. Na Mwenyezi Mungu mwenyewe alipanga mambo kwa mipango yake. Kila upande wa Kenya kuna wale wana vitu tofauti na vyote vinachangia kwa uchumi wetu wa Kenya. Kwa hivyo, kuna umuhimu sana wa haya mambo yote yaliyowekwa kwenye hii Ripoti kufuatiliwa na wenzetu ili wakulima waweze kujimudu. Zile shida wako nazo, waziondoe. Zile kelele wanapiga na kulalamika siku zote ziishe. Ninaona pia Rais Uhuru Kenyatta tumpongeze katika hotuba yake. Alichangia sana katika mambo ya kahawa. Naona kahawa na majani na mengine yanaangaliwa. The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposes only. Acertified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}