GET /api/v0.1/hansard/entries/978268/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 978268,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/978268/?format=api",
"text_counter": 278,
"type": "speech",
"speaker_name": "Nyali, Independent",
"speaker_title": "Hon. Mohamed Ali",
"speaker": {
"id": 13455,
"legal_name": "Mohammed Ali Mohamed",
"slug": "mohamed-ali-mohamed"
},
"content": "Kutakuwa na athari kubwa sana katika taifa hili iwapo masuala ya vijana hayatatatuliwa. Hii ni kwa sababu itafika mahali ambapo vijana watachoka katika taifa hili na tukifika hapo, kurudi nyuma itakuwa vigumu. Saa hizi ukiangalia ni kama kwamba kuna vuguvugu la tatu ambalo lina njaa, hasira, limedhulumiwa na linaogopa kuingia katika karne ya kuitwa wazee sasa."
}