GET /api/v0.1/hansard/entries/978269/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 978269,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/978269/?format=api",
    "text_counter": 279,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Nyali, Independent",
    "speaker_title": "Hon. Mohamed Ali",
    "speaker": {
        "id": 13455,
        "legal_name": "Mohammed Ali Mohamed",
        "slug": "mohamed-ali-mohamed"
    },
    "content": "Tukiingia katika Bunge hili tulikuwa vijana chipukizi, lakini sasa tunaanza kuaga miaka hiyo ya thelathini na tano na kuanza kuitwa wazee. Lakini hatujatimiza tuliloletwa kutimiza katika Bunge hili kwa sababu hiyo nafasi imekuwa ni haba. Hiyo nafasi ya kuleta idadi kubwa hapa imekuwa ngumu. Nchi zinazoendelea na kustawi duniani, nchi zinazofanya vyema na kutoa The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposes only. Acertified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}