GET /api/v0.1/hansard/entries/978270/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 978270,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/978270/?format=api",
    "text_counter": 280,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Nyali, Independent",
    "speaker_title": "Hon. Mohamed Ali",
    "speaker": {
        "id": 13455,
        "legal_name": "Mohammed Ali Mohamed",
        "slug": "mohamed-ali-mohamed"
    },
    "content": "mfano mzuri ni zile ambazo kazi zinaekezwa kwa vijana. Nchi ambayo inaendeshwa na vijana inakwea kisiasa, kiuchumi na inahakikisha ya kwamba nchi hiyo inakuwa mfano bora kwa mataifa mengine. Ni lazima tuwe waangalifu katika hii nchi yetu, na hili suala litatuletea matatizo katika siku za usoni. Iwapo hatutawasaidia hawa vijana, basi Kenya itakuwa katika hali mbaya sana."
}