GET /api/v0.1/hansard/entries/978271/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 978271,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/978271/?format=api",
    "text_counter": 281,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Nyali, Independent",
    "speaker_title": "Hon. Mohamed Ali",
    "speaker": {
        "id": 13455,
        "legal_name": "Mohammed Ali Mohamed",
        "slug": "mohamed-ali-mohamed"
    },
    "content": "Ninamalizia kwa kusema ya kwamba Mhe. Keter ameleta wazo nzuri katika Bunge la taifa, na mimi naliunga mkono na ninatumai ya kwamba haya yote yaliyoweza kuzungumziwa na Wabunge wengine yatasikizwa na kuhakikisha ya kwamba nafasi ya vijana imepatikana katika Jamhuri hii ya Kenya. Asante"
}