GET /api/v0.1/hansard/entries/979308/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 979308,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/979308/?format=api",
    "text_counter": 162,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Kinyua",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13202,
        "legal_name": "John Kinyua Nderitu",
        "slug": "john-kinyua-nderitu-2"
    },
    "content": "Asante sana, Bw. Naibu Spika. Naunga wenzangu mkono kwa kutuma risala zetu za rambirambi kwa familia ya watu wa Vihiga waliothiriwa na jambo hili. Ukosefu wa usalama limekuwa donda sugu katika nchi yetu ya Kenya. Kuamkia usikuwa wa leo, Kaunti ya Laikipia katika eneo la Kimanjo, watu walishambuliwa na watu wanne kuuwawa. Wazee wafuatao waliuwawa; Bw. Lekietei, Bw.Lekishulai na Bw, Lesamaita, na hakuna chochote kilichoibiwa. Inaonekana kwamba watu hao waliwashambulia kusudi ili kuwaondowa katika makao uyo."
}