GET /api/v0.1/hansard/entries/979309/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 979309,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/979309/?format=api",
    "text_counter": 163,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Kinyua",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13202,
        "legal_name": "John Kinyua Nderitu",
        "slug": "john-kinyua-nderitu-2"
    },
    "content": "Katika sehemu inayofahamika kama Mwenje, Bw. Richard aliuwawa na ng’ombe wake wakaibiwa. Ukosefu wa usalama ni jambo lakutatanisha sana. Kamati husika inafaa kuzingatia ukosefu wa usalama katika Kaunti ya Laikipia, hasa tangu kuondolewa kwa askari wa National Police Reservist (NPR), kwani kumekuwa na ukosefu wa usalama sana. Watu wanashambuliwa na kuuwawa. Kamati husika inafaa kuzingatia jambo hili kwa undani. Tungeomba Kamati inayohusika iangalie kwa undani haya maneno, na tushughulikie jambo la KPRs. Wakati KPRs walikuwa katika sehemu ya Laikipia, mambo ya usalama yalikuwa mazuri; lakini tangu watolewe, tumekua tukifedheheka na kuwa na shida kila wakati. Asante, Bw. Spika."
}