GET /api/v0.1/hansard/entries/980042/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 980042,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/980042/?format=api",
    "text_counter": 288,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Lamu, JP",
    "speaker_title": "Hon. (Ms.) Ruweida Obo",
    "speaker": {
        "id": 786,
        "legal_name": "Ruweida Mohamed Obo",
        "slug": "ruweida-mohamed-obo"
    },
    "content": "Pia, tunataka wavuvi wapewe vifaa mwafaka, sio kutumia tanga tu mtindo wa kizamani. Tunataka wapatiwe mashini ili wapate kwenda mbali zaidi kutafuta samaki wengi zaidi. Na zile sehemu zingine ambazo ziko Lamu, kama sehemu za Wito na Mpeketoni, wao pia wanaweza kufanya ukulima wa samaki. Wajengewe mabirika ya samaki. Na katika sehemu fulani za Bahari The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposes only. Acertified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}