GET /api/v0.1/hansard/entries/980043/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 980043,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/980043/?format=api",
    "text_counter": 289,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Lamu, JP",
    "speaker_title": "Hon. (Ms.) Ruweida Obo",
    "speaker": {
        "id": 786,
        "legal_name": "Ruweida Mohamed Obo",
        "slug": "ruweida-mohamed-obo"
    },
    "content": "Hindi kunaweza kukatengezwa birika za kisasa zinazofanywa ndani ya bahari ili watu wavue pweza, kaa, majongoo, na kadhalika. Hivi vyote ni vitu ambavyo vinaweza kuusaidia uchumi wa Kenya. Nitakomea hapo kwa sasa bali tu naomba wakiangalia huku kwingine waangalie Lamu pia. Asante."
}