GET /api/v0.1/hansard/entries/980150/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 980150,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/980150/?format=api",
    "text_counter": 68,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Zawadi",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13176,
        "legal_name": "Christine Zawadi Gona",
        "slug": "christine-zawadi-gona"
    },
    "content": "Waziri anafaa aja ili tuzungumze naye na atuambie ni nini anapanga kuhusu watu wetu ambao mashamba yao yamevamiwa. Ni vipi watapata chakula na hao nzige ambao anasema wakiwa rangi ya manjano wanakufa--- Ninavyojua mimi, hao nzige wake ambao wamekuwa rangi ya manjano wanazaana ile ‘mbaya mbovu.’"
}