GET /api/v0.1/hansard/entries/980152/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 980152,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/980152/?format=api",
    "text_counter": 70,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Zawadi",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13176,
        "legal_name": "Christine Zawadi Gona",
        "slug": "christine-zawadi-gona"
    },
    "content": "Wanabebana mgongoni. Nzige wa kike ndiye anayebeba wa kiume. Kwa hivyo, wako hapa na shughuli ni moja tu ya kuzaa. Yeye akisema kuwa watakufa, anajua aje? Basi anafaa aje hapa atuambia hao nzige wake wamefika wapi, na anawaza nini."
}