GET /api/v0.1/hansard/entries/980216/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 980216,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/980216/?format=api",
    "text_counter": 134,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Faki",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13211,
        "legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
        "slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
    },
    "content": "Bw. Spika, asante sana kwa kunipa fursa hii kuchangia Taarifa iliyoletwa na Seneta wa Kaunti Nairobi. Swala la mauaji ya raia sio swala geni katika Bunge hili la Seneti. Ni swala nilioangazia mwaka jana na mwaka uliyotangulia kwa sababu kila mwaka, vijana wanaendelea kuwaawa na kupotea bila sababu za kisheria."
}