GET /api/v0.1/hansard/entries/980217/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 980217,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/980217/?format=api",
    "text_counter": 135,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Faki",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13211,
        "legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
        "slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
    },
    "content": "Ni majuzi tu miili nane iliokotwa katika Mbuga ya Wanyama Pori ya Tsavo. Miili hiyo ilipelekwa katika chumba cha kuhifadhi maiti cha Makindu. Kati ya watu wanane waliowaawa, wanne walikuwa vijana kutoka Kwale waliokuwa wamewaawa kinyama. Miili yao ilikuwa na alama kubwa kuthibitisha kwamba walifanyiwa ukatili kabla ya kuwaawa. Miili mingine minne ilibakia katika chumba hicho cha kuhifadhi maiti na mpaka sana, haijulikani ni miili ya akina nani. The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate."
}