GET /api/v0.1/hansard/entries/980224/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 980224,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/980224/?format=api",
"text_counter": 142,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Faki",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13211,
"legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
"slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
},
"content": "Bw. Spika, naunga mkono tuwe na tume maalum kuchunguza swala hili ili tupate mwelekeo wa kudumu kwamba swala kama hili halifai kuwa katika nchi yetu. Tulipata Katiba mpya mwaka wa 2010 ambayo ina mwongozo kamili wa haki za kibinadamu katika nchi yetu. Katiba yetu ninasemekana kuwa namba moja Afrika mbali na ile ya Afrika Kusini. Lakini mauwaji yamekuwa mengi sana baada ya katiba kupitishwa mwaka wa 2010 hata kuliko walivyowaawa kabla ya katiba tuliyo nayo sasa."
}