GET /api/v0.1/hansard/entries/980225/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 980225,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/980225/?format=api",
    "text_counter": 143,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Faki",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13211,
        "legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
        "slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
    },
    "content": "Katiba yetu ni maneno matupu. Hakuna taasisi ya Serikali ambayo inaheshimu haki ya uhai ya wananchi bila ya kupoteza maisha yao kiholela. Naunga mkono kwamba kuwe na tume maalum ya kuchunguza swala hili kama vile tunachunguza swala ya vifaa vya matibabu, tulivyochunguza swala la ukulima wa mahindi na mambo mengineo. Lazima tutilie maanani swala la haki za binadamu kwani ni jambo linalopotezea vijana wetu maisha kiholela. Wale wanaohusika na swala hili la mauwaji hawafai kuendelea kupokea mishahara ya Serikali."
}