GET /api/v0.1/hansard/entries/980791/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 980791,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/980791/?format=api",
    "text_counter": 44,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Pareno",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13180,
        "legal_name": "Judith Ramaita Pareno",
        "slug": "judith-ramaita-pareno"
    },
    "content": "haki za kina mama na wabunge wenzao. Tutafurahi sana tukiona kwamba nyinyi kama Kamati inayoshughulikia haki za wabunge mtakuwa mmeshughulikia jambo hilo. Tumefurahi mmefika na mtapata masomo mazuri hapa Seneti kwa sababu sisi kama wabunge akina mama tuna haki zetu na tunataka mfuatilie na kusema kwamba mtashughulikia haki hizo. Asante, Bw. Spika."
}