GET /api/v0.1/hansard/entries/980865/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 980865,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/980865/?format=api",
"text_counter": 118,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Mutula Kilonzo Jnr.",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13156,
"legal_name": "Mutula Kilonzo Jnr",
"slug": "mutula-kilonzo-jnr"
},
"content": "Hili ni jambo ambalo linatakiwa kuchukuliwa kwa uzito unaofaa kwa sababu hakuna sheria. Mimi na Sen. Sakaja tulipendekeza sheria ya kuangalia majanga kama haya. Hii ni kwa sababu hatuna sheria. Serikali inafaa kuchukua jukumu kupitia kwa Mheshimiwa Rais hata kama tutasimamisha maneno ambayo tunazungumza---"
}