GET /api/v0.1/hansard/entries/980888/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 980888,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/980888/?format=api",
"text_counter": 141,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Madzayo",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 679,
"legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
"slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
},
"content": "Unajua kuwa hakuna mwanya katika sheria za huko Uchina. Ukipatikana na hatia, wanakuweka korokoroni; hakuna mambo ya wakili ama jambo lolote. Hatujui kama wale Wakenya wamefungwa maisha ama watatolewa siku nyingine. Hatuna uhakika. Hatujui afya yao iko vipi, wala kama chakula kina shida. Bw. Spika, nataka kumaliza---"
}