GET /api/v0.1/hansard/entries/980896/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 980896,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/980896/?format=api",
"text_counter": 149,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Kinyua",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13202,
"legal_name": "John Kinyua Nderitu",
"slug": "john-kinyua-nderitu-2"
},
"content": "Bw. Spika, asante sana kwa kunipa fursa hii. Nawapongeza Sen. Kwamboka na Sen. Kasanga kwa kuleta Taarifa hii. Linalonivunja moyo ni kwamba tunazungumzia Virusi vya Corona kwa uchungu mwingi na bado haijafika nchini. Sijui Serikali yetu ya Kenya imejitayarisha vipi kupambana na Virusi vya Corona . Seneta wa Kaunti ya Lamu alilalamika jana kuhusu hali ya zahanati katika kaunti yake. Ikiwa Virusi vya Corona vitafika katika nchi hii, nahofia Serikali yetu ya Kenya haitakuwa imejitayarisha vilivyo. Nzige wamevamia mashamba yetu na ulielekeza kwamba Waziri wa Kilimo, Mifugo and Uvuvi aje aangazie jambo hilo. Sina uhakika"
}