GET /api/v0.1/hansard/entries/980898/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 980898,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/980898/?format=api",
"text_counter": 151,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Kinyua",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13202,
"legal_name": "John Kinyua Nderitu",
"slug": "john-kinyua-nderitu-2"
},
"content": "kama Serikali yetu imejitayarisha kupambana na Virusi vya Corona na kwa hivyo haiwezi kuwaruhusu wanafunzi Wakenya anaohangaika Wuhan kurudi nchini. Labda Serikali inadhani ikiwaruhusu nchini huenda wanafunzi hao wakawaambukiza Wakenya Virusi vya Corona. Zahanati nchini Kenya hazina dawa. Kwa hivyo, Serikali itakuwa na jukumu kubwa kupambana na Virusi vya Corona iwapo itafika nchini Kenya. Hali katika sekta ya afya inadhoofika. Mimi ni mwana kamati katika---"
}