GET /api/v0.1/hansard/entries/980935/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 980935,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/980935/?format=api",
    "text_counter": 188,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Faki",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13211,
        "legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
        "slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
    },
    "content": "Bw. Naibu Spika, wanafunzi katika maeneo yale watafanya mitihani sawa na wengine katika nchi ya Kenya lakini wanaweza kuwa hawasomeshwi kwa muda wa mwezi mmoja kwa sababu walimu wote wamehamishwa. Pia, kuna swala la mitihani ambayo inakuwa centralized na kuchapishwa na Kenya National Examinations Council (KNEC) lakini ukiangalia, maeneo mengi hayana huduma kama zile zinazopatikana katika miji mikubwa. Ipo haja ya kuangalia swala hili kwa undani Zaidi na ipendekezwe kwamba swala la mitihani na lile la uajiri wa walimu lipelekwe katika kaunti ili kila kaunti iwe na sehemu yake ya kuajiri walimu wanaotaka."
}