GET /api/v0.1/hansard/entries/980937/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 980937,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/980937/?format=api",
"text_counter": 190,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Wario",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13224,
"legal_name": "Golich Juma Wario",
"slug": "golich-juma-wario"
},
"content": "Asante, Bw. Naibu Spika, kwa kunipatia nafasi hii. Kwa kweli, walimu kutolewa katika jimbo la North Eastern si nzuri kwa sababu Al Shabaab walileta tisho katika sehemu hiyo. Kama tutakuwa tunaendelea kutoa walimu sehemu zote ambazo wataenda, tutakuja kufunga Kenya hii. Inatakikana tulinde walimu wetu ili masomo yaweze kuendelea na watu wa North Easten wapate haki sawa na watu wote walio Kenya."
}