GET /api/v0.1/hansard/entries/980990/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 980990,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/980990/?format=api",
    "text_counter": 243,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Madzayo",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 679,
        "legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
        "slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
    },
    "content": "Kwa hoja ya nidhamu, Bwana Naibu Spika. Ni jambo la kusikitisha katika Bunge letu la Seneti, ambalo ni hatari kubwa pia kwa heshima ya Wakenya waliowachagua viongozi walio wengi ndani ya Seneti. Ni aibu leo kwa upande wa waliowengi ya kwamba Bunge linaweza kuendelea bila wao. Hakuna Kiongozi, hakuna Naibu wa Kiongozi, hakuna wenyeviti wala Mweshimiwa Seneta yeyote. Hii ni aibu katika uongozi ndani ya Seneti."
}