GET /api/v0.1/hansard/entries/980994/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 980994,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/980994/?format=api",
    "text_counter": 247,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Madzayo",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 679,
        "legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
        "slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
    },
    "content": "Bw. Naibu Spika, katika historia ya Kenya, hili halijatokea. Kwa hivyo, tunataka kusema kwamba jambo hili lazima likome. Pia, inatakikana utuelekeze katika mwelekeo wa kwamba hata ikiwa watatoka wote kwa mipangilio waliyo nayo, ambayo hatuijui sisi---"
}