GET /api/v0.1/hansard/entries/981068/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 981068,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/981068/?format=api",
    "text_counter": 321,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Madzayo",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 679,
        "legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
        "slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
    },
    "content": "Mine is very clear. Bw. Naibu Spika, asante sana kwa kunipa muda huu. Pia ningependa kumpa hongera ndugu yangu kwa kutambua kuwa mimi ni mkubwa wake kiumri, na nilimtangulia kuingia katika Bunge la Seneti. Nampatia heshima kubwa sana Sen. Olekina. Ni watu wachache sana ambao wako na heshima kama hiyo. Ukiniona nikimshukuru ni kwa sababu Sen. Olekina anastahili kongole kubwa."
}