GET /api/v0.1/hansard/entries/981072/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 981072,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/981072/?format=api",
    "text_counter": 325,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Madzayo",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 679,
        "legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
        "slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
    },
    "content": "Bw. Naibu Spika, uvuvi unaweza kuendesha uchumi wa nchi yetu mbele. Katika Mswada huu, kuna vitu vingi ambavyo Sen. Kajwang’ amevizingatia. Ninawakilisha eneo la wavuvi, na ninajua kwamba uchumi wa wavuvi ni nadra. Ina maana kwamba Serikali lazima isaidie wavuvi waliochini. Kuna wavuvi wanaotumia mitumbwi, madau makubwa au meli. Cha muhimu ni kwamba wavuvi hawapati msaada wowote kutoka kwa Serikali. Serikali yetu lazima izangatie swala la kuwainua wavuvi walio chini, ili nao wapate maendeleo."
}