GET /api/v0.1/hansard/entries/981073/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 981073,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/981073/?format=api",
"text_counter": 326,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Madzayo",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 679,
"legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
"slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
},
"content": "Kwa kumalizia, ningependa kusema kwamba uchukuzi wa samaki una manufaa kabisa. Samaki iko na faida nyingi, hususan kwa watu kama sisi tuiliopita umri wa zaidi ya miaka 40 au 50. Mimi sio daktari, lakini nikikuangalia, najua kwamba ukila nyama kwa wingi katika umri wako, utakuwa na shida inayonipata mimi nikila nyama kwa sababu ya gout ."
}