GET /api/v0.1/hansard/entries/981074/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 981074,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/981074/?format=api",
    "text_counter": 327,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Madzayo",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 679,
        "legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
        "slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
    },
    "content": "Bw. Naibu Spika, mimi na wewe ni mawakili. Wewe ni professa wa sharia, lakini madaktari wanatuhimiza kula samaki kwa wingi katika umri wetu, ili kuendeleza maisha yetu. Inafaa tuwachane na nyama ili tuwache kuteseka kiafya. Bw. Naibu Spika, naunga mkono Mswada huu ulioletwa na Seneta wa Homa Bay County, Sen. M. Kajwang’; pamoja na vitengo vyote alivyotenga kwa mambo ya uchukuzi na maendeleo ya samaki katika Kenya. Asante Sana, Bw. Naibu Spika."
}