GET /api/v0.1/hansard/entries/981549/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 981549,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/981549/?format=api",
    "text_counter": 359,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Samburu CWR, KANU",
    "speaker_title": "Hon. (Ms.) Maison Leshoomo",
    "speaker": {
        "id": 379,
        "legal_name": "Maison Leshoomo",
        "slug": "maison-leshoomo"
    },
    "content": " Asante sana, Mhe. Naibu Spika wa Muda kwa kunipatia nafasi hii. Nampa Mheshimiwa hongera kwa kuleta Hoja hii ya nzige. Kulingana na jinsi wenzangu walivyoongea, nzige hawajaanza kuja leo. Nzige walikuja kitambo sana. Kuna wakati walikuja wakati wa ukoloni. Wakati walipoingia Kenya enzi za ukoloni, nzige wana madhara mengi ya kula miti, matawi na nyasi. Baada ya hapo, kuna ugonjwa wa ng’ombe. Kwa hivyo, tunalia kwani hili ni janga baya zaidi. Hili ni jambo ambalo limetushtua sisi ambao tuna wanyama kama ng’ombe. Tunajua baada ya nzige kuisha na dawa ama kuisha kwa njia yoyote, wataleta ugonjwa wa ng’ombe. Tumetembea upande wa kwetu"
}