GET /api/v0.1/hansard/entries/982475/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 982475,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/982475/?format=api",
    "text_counter": 181,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Boy",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13200,
        "legal_name": "Issa Juma Boy",
        "slug": "issa-juma-boy"
    },
    "content": "Asante sana Bw. Spika kwa kunipa fursa hii. Kwanza, ninataka kutuma risala za rambirambi zangu, familia yangu na kaunti nzima ya Kwale kwa Sen. Moi na familia yake. Bw. Spika, mwaka wa 1983 mimi sikuwa mkubwa, lakini nilikuwa na fahamu zangu tukiishi Runda, Nairobi. Marehemu babangu alikua Mbunge wa Kwale Central na alikua katibu mkuu wa Central Organization of Trade Unions (COTU), Kenya. Baba yangu alianguka nyumbani Runda akawa na maradhi ya moyo. Marehemu Rais Moi"
}