GET /api/v0.1/hansard/entries/982479/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 982479,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/982479/?format=api",
    "text_counter": 185,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Boy",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13200,
        "legal_name": "Issa Juma Boy",
        "slug": "issa-juma-boy"
    },
    "content": "lakini kwa bahati mbaya akafariki baada ya wiki moja. Hayati Mzee Moi alisimamia maiti ya babangu ikaletwa Kenya na ilipofika Kenya, siku hiyo marehemu Moi aliamrisha akatoa ndege tatu za kijeshi, helicopter, zikaleta maiti Lungalunga"
}