GET /api/v0.1/hansard/entries/982516/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 982516,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/982516/?format=api",
    "text_counter": 222,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Kinyua",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13202,
        "legal_name": "John Kinyua Nderitu",
        "slug": "john-kinyua-nderitu-2"
    },
    "content": "Asante sana Bw. Spika. Naungana nawe pamoja na ndugu zangu Maseneta, kutoa risala zangu za rambirambi, za familia yangu pamoja na za Kaunti ya Laikipia kwa familia ya mwenda zake rais mpendwa wetu, hasa, kwa Seneta mwenzetu, Sen. Moi ambaye tumekuwa na yeye hapa. Naongea kwa niaba ya wengi ambao"
}