GET /api/v0.1/hansard/entries/982701/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 982701,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/982701/?format=api",
    "text_counter": 110,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Taita Taveta CWR, JP",
    "speaker_title": "Hon. (Ms.) Haika Mizighi",
    "speaker": {
        "id": 13274,
        "legal_name": "Lydia Haika Mnene Mizighi",
        "slug": "lydia-haika-mnene-mizighi"
    },
    "content": " Ahsante, Mhe. Spika. Kwa niaba yangu na ya watu wa Taita Taveta, tunatoa pole zetu kwa familia ya aliyekuwa Rais wetu wa pili, Rais Daniel Toroitich arap Moi. Tunamshukuru kwa kuongoza kwa amani, upendo na umoja. Tunamshukuru pia kwa shule nyingi ambazo alijenga Kenya nzima. Tunafurahia sana kwa kuwa alisimama na elimu haswa elimu ya watoto wa kike. Tunatoa pole zetu kutoka Taita Taveta kwa familia na Kenya yote nzima. Ahsante, Mhe. Spika."
}