GET /api/v0.1/hansard/entries/982705/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 982705,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/982705/?format=api",
    "text_counter": 114,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Kieni, JP",
    "speaker_title": "Hon. Kanini Kega",
    "speaker": {
        "id": 1813,
        "legal_name": "James Mathenge Kanini Kega",
        "slug": "james-mathenge-kanini-kega"
    },
    "content": " Ahsante, Mhe. Spika kwa kunipatia nafasi hii ili niomboloeze na familia ya mwendazake Rais wa Pili, Mzee Toroitich arap Moi. Kuna mambo mawili ambayo tumesoma kutokana na hayati mzee. Alikuwa na filosofia ya amani, upendo na umoja ambao tunapaswa kama Wakenya kuiga. Ya pili, Mzee Moi alituambia kila wakati kwamba siasa mbaya maisha mabaya. Kwa hivyo, sisi kama wanasiasa na viongozi ni vizuri tuyaige yale mambo mazuri ambayo tulionyeshwa. Ya mwisho ni kwamba tulikuwa na nyimbo nyingi za kizalendo na tunazikumbuka na kuzienzi. Mhe. Spika, kabla hujaingia, nyimbo hizo zilikuwa zinaimbwa hapa na Wabunge. Nyimbo hizi zilikuwa zinatuleta pamoja kama Wakenya. Tunapaswa kuziiga hizo nyimbo ili tulete Kenya pamoja. Kwa hayo machache, kwa niaba yangu, ya familia na watu wa…"
}