GET /api/v0.1/hansard/entries/982789/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 982789,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/982789/?format=api",
"text_counter": 198,
"type": "speech",
"speaker_name": "CWR Trans Nzoia, JP",
"speaker_title": "Hon. (Ms.) Janet Nangabo",
"speaker": null,
"content": "Namkumbuka Rais msitaafu kwa mambo mawili. Kwanza, nilimuona na kumjua nikiwa katika shule ya upili ya Kamusinga. Alikuja akabadilisha jina la hiyo shule ikaitwa Moi Girls Kamusinga. Namkumbuka tena kwa sababu alikuwa mcha Mungu. Wakati aliposhikilia kiti cha urais tulikuwa na pombe nyingi sana katika nchi ya Kenya. Alimaliza pombe kwa kufunga vilabu na akabadilisha watoto wetu wakapata elimu ya kutosha."
}