GET /api/v0.1/hansard/entries/982824/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 982824,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/982824/?format=api",
    "text_counter": 233,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Nandi CWR, JP",
    "speaker_title": "Hon. (Ms.) Tecla Tum",
    "speaker": {
        "id": 913,
        "legal_name": "Tum Tecla Chebet",
        "slug": "tum-tecla-chebet"
    },
    "content": " Natoa rambirambi zangu kwa familia ya Moi. Moi aliimarisha elimu, alijenga hospitali. Ndio sababu tuko na Wadi za Nyayo mahali akina mama wanaenda kujifungua. Alipenda akina mama sana. Ndio maana alikuwa ananunua matunda na ndizi njiani. Hakutaka akina mama wateseke. Alikuwa alikuwa mkristo aliyeogopa Mungu, ndiposa akakaa madarakani kwa miaka 24. Ni kwa sababu alikuwa mtu wa Mungu. Hapo, sisi wanasiasa tujivunie na tujifunze kutoka kwake. Asante. The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposes only. Acertified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}