GET /api/v0.1/hansard/entries/982850/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 982850,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/982850/?format=api",
"text_counter": 259,
"type": "speech",
"speaker_name": "Igembe North, JP",
"speaker_title": "Hon. Maoka Maore",
"speaker": {
"id": 13344,
"legal_name": "Richard Maore Maoka",
"slug": "richard-maore-maoka"
},
"content": " Mhe. Spika, kwa niaba yangu na familia, natoa rambirambi zangu kwa familia ya hayati Mzee Rais Daniel arap Moi. Niliwahi kutumikia Bunge hili kwa miaka 10 akiwa rais wa Jamhuri ya Kenya. Wakati huo eneo langu lilikuwa linaitwa Ntonyiri. Tulifanikiwa kwa kujengewa barabara ya Maili Tatu-Lare-Mutuati na nyingine kutoka Meru National Park. Kwa hiyo natoa shukrani nyingi. Watu wanaomboleza kwa dhati kifo cha Mzee Rais Moi. Asante."
}