GET /api/v0.1/hansard/entries/982858/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 982858,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/982858/?format=api",
    "text_counter": 267,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Kilifi, ODM",
    "speaker_title": "Hon. Gertrude Mwanyanje",
    "speaker": null,
    "content": " Asante Mhe. Spika. Kwa niaba yangu, familia yangu na watu wa Kilifi, napeana rambirambi zangu kwa familia ya hayati Mzee Daniel Toroitich arap Moi. Wasifu wake wa kupenda elimu ndani ya Kenya, hasa elimu ya mtoto wa kike, mimi namuenzi kwa hilo. Kupeana maziwa kwa watoto wa shule, tunamuenzi. Tunaomba sisi kama viongozi tuone vipi tunaweza kuendeleza legacy yake. Asante Mhe. Spika."
}