GET /api/v0.1/hansard/entries/982865/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 982865,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/982865/?format=api",
    "text_counter": 274,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Bahati, JP",
    "speaker_title": "Hon. Kimani Ngunjiri",
    "speaker": {
        "id": 1179,
        "legal_name": "Onesmas Kimani Ngunjiri",
        "slug": "onesmas-kimani-ngunjiri"
    },
    "content": " Ahsante, Mhe. Spika. Nachukua nafasi hii ya kutoa rambirambi, kama Mjumbe wa Bahati, kwa niaba ya watu wa eneo Bunge la Bahati pamoja na familia yangu kusema pole kwa familia. Yangu ni machache. Kama kuna mtu anayemjua Rais mstaafu aliyetuacha ni mimi Mhe. Kimani Ngunjiri. Nilikuwa Mwenyekiti wake wa chama cha KANU kwa miaka kumi. Kwa hivyo, nilimjua kwa undani. Ninajua uzuri wake kwa sababu alikuwa mzee wa heshima na alijua kuwasaidia maskini na kuunganisha watu wote. Alikuwa na msimamo. Ikiwa mtakumbuka, yeye ndiye rais wa pekee aliyemaliza siasa na chama alichochaguliwa nacho bila kubadilisha na kujiunga na chama kingine. Pengine kwenda kwake kutakuza…"
}