GET /api/v0.1/hansard/entries/982879/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 982879,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/982879/?format=api",
    "text_counter": 288,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Magarini, ODM",
    "speaker_title": "Hon. Michael Kingi",
    "speaker": {
        "id": 13412,
        "legal_name": "Michael Thoyah Kingi",
        "slug": "michael-thoyah-kingi"
    },
    "content": " Mheshimiwa Spika, kwa niaba ya watu wa Magarini na jamii ya Wamijikenda kutoka Jamuhuri yetu ya Kenya, napeana pole zangu kwa familia ya mwendazake aliyekuwa Rais wetu wa pili, Mzee Daniel Toroitich arap Moi. Mzee Moi anajulikana kwa kuendeleza mwito wa harambee iliyokuwa inahakikisha kwamba watu kutoka jamii maskini wanapata msaada kupitia kwa mwito huo. Kwa hivyo, kwa niaba ya jamii ya watu wa Magarini na jamii ya Wapwani, nasema Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi."
}