GET /api/v0.1/hansard/entries/982888/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 982888,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/982888/?format=api",
    "text_counter": 297,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Kikuyu, JP",
    "speaker_title": "Hon. Kimani Ichung’wah",
    "speaker": {
        "id": 1835,
        "legal_name": "Anthony Kimani Ichung'Wah",
        "slug": "anthony-kimani-ichungwah"
    },
    "content": " Asante Bwana Spika. Kwa niaba ya watu wote wa Kikuyu na jamii yote ya Ichung’wah Ngugi ambaye ni rika moja na mzee Moi, na ambaye dakika chache zilizopita, alikuja kumpatia heshima Mzee Moi ambaye alikuwa rafiki yake. Ninatuma risala za rambirambi kwa jamii na marafiki na nchi ya Kenya. Huko kwetu Kikuyuni, hatungekuwa na shule ya wasichana kama haingekuwa kazi ya Mzee Moi. Tuko na Moi Girls Kamangu, Alliance Girls High School, na Alliance High School. Ninaomba mwenyezi Mungu ailaze roho yake mahali pema."
}