GET /api/v0.1/hansard/entries/982895/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 982895,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/982895/?format=api",
    "text_counter": 304,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Turkana West, JP",
    "speaker_title": "Hon. Daniel Nanok",
    "speaker": {
        "id": 2947,
        "legal_name": "Daniel Epuyo Nanok",
        "slug": "daniel-epuyo-nanok"
    },
    "content": " Shukran Mhe. Spika. Kwa niaba ya watu wa Turkana Magharibi na mimi mwenyewe, ningependa kutoa rambirambi zangu kwa wakenya wote na jamii ya hayati Mzee Moi. Ninamkumbuka binafsi kama aliyesaidika na karo ya shule ambayo yeye mwenyewe alianzisha kule Kabarak. Niliweza kutunukiwa scholarship ya shule hiyo hadi vile nilivyo hivi sasa. Nimefanya kazi kwa sababu ya nafasi aliyotoa. Namuomba Mwenyezi Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi."
}