GET /api/v0.1/hansard/entries/982908/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 982908,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/982908/?format=api",
    "text_counter": 317,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Nyali, Independent",
    "speaker_title": "Hon. Mohamed Ali",
    "speaker": {
        "id": 13455,
        "legal_name": "Mohammed Ali Mohamed",
        "slug": "mohamed-ali-mohamed"
    },
    "content": " Shukrani sana, Mheshimiwa Spika. Kwa niaba ya wakaazi wa Eneo Bunge la Nyali, familia yangu, ninatoa risala za rambirambi kwa familia ya hayati Daniel Toroitich arap Moi. Hakika, atakumbukwa kwa mambo mengi mazuri na tunamuomba Mwenyezi Mungu amfutie dhambi zake na hata za siri na amlaze pema panapolazwa wema."
}