GET /api/v0.1/hansard/entries/982964/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 982964,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/982964/?format=api",
    "text_counter": 373,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Lamu CWR, JP",
    "speaker_title": "Hon. (Ms.) Ruweida Obo",
    "speaker": {
        "id": 786,
        "legal_name": "Ruweida Mohamed Obo",
        "slug": "ruweida-mohamed-obo"
    },
    "content": " Asante sana, Mhe. Spika. Kwa niaba yangu, familia yangu na Kaunti ya Lamu kwa jumla, natoa rambirambi zetu kwa familia ya Rais wa Pili nakwa mwenzetu Gideon. Tutamkumbuka baba yetu kwa mambo mengi. Moja ni kuleta Wakenya pamoja na yale maziwa ya Nyayo tuliyokunywa. Pia, alianzishia watu wa Lamu"
}