GET /api/v0.1/hansard/entries/982966/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 982966,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/982966/?format=api",
"text_counter": 375,
"type": "speech",
"speaker_name": "Lamu CWR, JP",
"speaker_title": "Hon. (Ms.) Ruweida Obo",
"speaker": {
"id": 786,
"legal_name": "Ruweida Mohamed Obo",
"slug": "ruweida-mohamed-obo"
},
"content": "ya Ksh.10 milioni na watoto wengi wakafaidika kwa masomo. Pia, alitupatia Naibu Wa Waziri ndugu yetu Mohamed Hashim na nyumba kuu hapa ikakuwa rahisi kufikia. Kulikuwa na wazee walioheshimika sana na wakipiga simu inashikwa. Pia tunakumbuka wazee wetu kama marehemu Maharus. Tutamkumbuka baba kwa mambo mengi. La, muhimu ni sisi viongozi…"
}