GET /api/v0.1/hansard/entries/982976/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 982976,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/982976/?format=api",
    "text_counter": 385,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Samburu CWR, KANU",
    "speaker_title": "Hon. (Ms.) Maison Leshoomo",
    "speaker": {
        "id": 379,
        "legal_name": "Maison Leshoomo",
        "slug": "maison-leshoomo"
    },
    "content": " Asante sana, Mhe. Spika kwa kunipatia nafasi hii nitoe pole zangu na za familia yangu na Kaunti ya Samburu kwa baba yetu Moi. Tunamkumbuka Baba Moi kwa mengi sana. Kile amefanyia Kaunti ya Samburu hatuwezi kusahau. Tunaamini yeye ndiye mtu wa kwanza kuanzisha shule ya upili ya wasichana katika Kaunti ya Samburu. Hatuwezi kusahau hata kidogo. Kila Mkenya anakumbuka kwamba Baba Moi hakuwa rais wa kuchezewa. Alikuwa rais wa kuheshimiwa zaidi. Ukiangalia kati yake na rais wa sasa, unaona kuna tofauti kubwa sana."
}