GET /api/v0.1/hansard/entries/983008/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 983008,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/983008/?format=api",
    "text_counter": 417,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Masinga, WDM-K",
    "speaker_title": "Hon. Joshua Mwalyo",
    "speaker": {
        "id": 13423,
        "legal_name": "Joshua Mbithi Mwalyo",
        "slug": "joshua-mbithi-mwalyo-2"
    },
    "content": " Asante, Mhe. Spika kwa kunipatia nafasi hii ili nitoe rambirambi zangu kwa niaba ya watu wa Masinga Constituency, Machakos County. Natoa pole zangu kwa familia ya Mzee Moi. Alituongoza vizuri. Ni kweli kabisa kuwa ule usawa na kutokuwa na vurugu yoyote ambayo tunaona katika makanisa yetu ni kwa sababu Moi alisimamia ukweli na akatupa nafasi ya kuabudu bila chochote kutusumbua. Ule msingi alituwekea katika nchi hii ndio umetusimamisha mpaka wa leo. Tuzingatie huo msingi ili uwe bora zaidi kuliko pale ameuwachia. Mungu aibariki familia yake."
}