GET /api/v0.1/hansard/entries/983014/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 983014,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/983014/?format=api",
"text_counter": 423,
"type": "speech",
"speaker_name": "Taveta, JP",
"speaker_title": "Hon. (Dr.) Naomi Shaban",
"speaker": {
"id": 139,
"legal_name": "Naomi Namsi Shaban",
"slug": "naomi-shaban"
},
"content": " Asante sana, Mheshimiwa Spika. Nami pia naunga mkono wenzangu, ndugu Raymond and ndugu Gideon, na jamii yote ya Mzee Moi pamoja na jamii ya Wakenya wote kwa ujumla kutoa risala zangu za rambirambi kwa niaba yangu na jamii yangu na watu wote wa Taveta kupeana pole kwa jamii ya mwendazake. Ni wazi kuwa Mzee Moi alikuwa mcha Mungu aliyefuata maadili ya Mwenyezi Mungu. Alikuwa mzee wa heshima ambaye aliheshimiwa katika Kenya na ulimwengu mzima kwa ujumla. Naomba Wakenya wenzangu wampe Mzee heshima yake kwa sababu heshima si utumwa. Mola amweke pahali pema peponi."
}