GET /api/v0.1/hansard/entries/983025/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 983025,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/983025/?format=api",
    "text_counter": 434,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Lungalunga, JP",
    "speaker_title": "Hon. Khatib Mwashetani",
    "speaker": {
        "id": 2163,
        "legal_name": "Khatib Abdallah Mwashetani",
        "slug": "khatib-abdallah-mwashetani"
    },
    "content": " Asante sana, Mhe. Spika, kwa kunipatia fursa hii ili niunge mkono kutoa rambirambi. Kwa niaba yangu, familia yangu, wananchi wa Lungalunga na Kaunti ya Kwale, ninatoa rambirambi zangu. Ninamkumbuka Mhe. marehemu Rais Moi wakati alipokuwa akija Mombasa ama Pwani. Nilikuwa mmoja wa wale walikuwa wakimwimbia kwa vigelegele. Kila wakati tulipokuwa tukimwimbia, alikuwa lazima aache mambo mazuri nyuma."
}