GET /api/v0.1/hansard/entries/983042/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 983042,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/983042/?format=api",
"text_counter": 451,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mosop, JP",
"speaker_title": "Hon. Vincent Tuwei",
"speaker": {
"id": 13436,
"legal_name": "Vincent Kipkurui Tuwei",
"slug": "vincent-kipkurui-tuwei"
},
"content": " Asante sana, Mhe. Spika, kwa kunipatia nafasi hii ili nitoe rambirambi zangu, za familia yangu na baba yangu ambaye ni mwandani sana wa Rais aliyetuacha. Mwaka wa 1950, baba yangu, Zakayo Cheruiyot, na watu wengine walienda kumtoa darasani akachaguliwa kuwa kiongozi ambaye alikuja Legislative Council (Legco). Rais wetu ambaye ametuacha alianza historia yake kubwa katika jamii ya Nandi, masomo yake na vilevile The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposes only. Acertified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}